• HABARI MPYA

    Thursday, April 07, 2016

    AZAM NA NDANDA PICHANI JANA CHAMAZI

    Beki wa Azam FC, David Mwantika akimuacha chini beki wa Ndanda FC, Paul Ngalema katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiuvutia kasi mpira dhidi ya beki wa Ndanda
    Kiungo wa Azam FC, Kipre Balou akitafuta maarifa ya kuuondoa mpira kwenye himaya ya wachezaji wa Ndanda FC
    KIpre Tchetche akimtoka beki wa Ndanda jana Chamazi
    Viungo William Lucian 'Gallas' wa Ndanda (kushoto) na Mudathir Yahya wa Azam FC wakigombea mpira
    Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni (kulia) akimtoka mchezaji wa Ndanda jana Chamazi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA NDANDA PICHANI JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top