• HABARI MPYA

  Thursday, April 07, 2016

  SIKU ZOTE HIZO CHOVE ALIKUWA HANA NAMBA YA IVO, AU?

  Makipa wa zamani wa Yanga, Jackson Chove (kulia) anayechezea Ndanda FC na Ivo Mapunda (kushoto) anayechezea Azam FC wakipeana namba za simu baada ya kukutana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jana wakati timu zao (Azam na Ndanda) zikimenyana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya 2-2. Chove na Mapunda wote ni makipa wa akiba katika timu zao kwa sasa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIKU ZOTE HIZO CHOVE ALIKUWA HANA NAMBA YA IVO, AU? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top