• HABARI MPYA

    Monday, April 11, 2016

    ALLY YANGA SHABIKI YEYE, KOCHA YEYE

    Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga akiwapigia kelele wachezaji wa timu yake kuwalekeza juzi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1
    Ally Yanga akiufuatilia mchezo huo kwa makini juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALLY YANGA SHABIKI YEYE, KOCHA YEYE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top