• HABARI MPYA

  Sunday, March 13, 2016

  YANGA NA APR KATIKA PICHA UWANJA WA AMAHORO, KIGALI JANA

  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (katikati) akiondoka na mpira katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jana dhidi ya wenyeji APR Uwanja wa Amahoro, Kigali nchini Rwanda. Yanga ilishinda 2-1 PICHA ZOTE NA KIGALI TODAY YA RWANDA
  Wachezaji wa Yanga, Donald Ngoma na Simon Msuva (nyuma) wakijaribu kumpokonya mpira Abdul Rwatubyaye wa APR
  Jean Claude Iranzi wa APR akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali
  Wanajeshi wa Rwanda walikuwa kwa wingi Uwanja wa Amahoro jana kuishagilia timu yao, APR
  Kikosi cha APR kilicholala 2-1 mbele ya Yanga jana Uwanja wa Amahoro
  Kikosi cha Yanga kilichoshinda mechi ya ugenini mjini Kigali, Rwanda jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA APR KATIKA PICHA UWANJA WA AMAHORO, KIGALI JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top