• HABARI MPYA

  Sunday, March 13, 2016

  AZAM FC NA BIDVEST WITS KATIKA PICHA JANA JOHANNESBURG

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akimtoka beki wa Bidvest Wits katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika usiku wa jana Uwanja wa Bidvest mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Azam FC ilishinda 3-0
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao awatoka wachezaji wa Bidvest Wits
  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akipambana na mchezaji wa Bidvest
  Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Bidvest
  Kiungo wa Azam FC, Kipre Balou akimtoka mchezaji wa Bidvest Wits
  Kikosi cha Azam FC kilichoifunga Bidvest Wits 3-0 jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA BIDVEST WITS KATIKA PICHA JANA JOHANNESBURG Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top