• HABARI MPYA

  Sunday, March 20, 2016

  SOUTHAMPTON YAIKALISHA LIVERPOOL ST MARY'S, 3-2

  Mshambuliaji Sadio Mane akipongezwa na wachezaji wenzake wa Southampton baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa St Mary's, wakitoka nyuma kwa mabao 2-0. Bao lingine la Southampton limefungwa na Graziano Pelle, wakati mabao ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho na Daniel Sturridge PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOUTHAMPTON YAIKALISHA LIVERPOOL ST MARY'S, 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top