• HABARI MPYA

  Sunday, March 20, 2016

  KUNDI LA KWANZA STARS LAWASILI D'JAMENA

  Mabeki wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mwinyi Hajji (kulia) na Kevin Yondan (kushoto)  baada ya kuwasili mjini D’jamena, Chad mchana wa leo tayari kwa mchezo wa Kundi G kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2017 utakaochezwa Jumatano
  Viungo Jonas Mkude (kushoto) na Mwinyi Kazimoto (kulia) wakiwa hotelini mjini D'jamena leo baada ya kuwasili. Stars inatarajiwa kufanya mazoezi kesho Jumatatu na Jumanne katika uwanja wa Omnisports Idrissm Mahamat Ouya kujiandaa na mchezo huo wa Jumatano katika dimba hilo hilo jijini D’jamena.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KUNDI LA KWANZA STARS LAWASILI D'JAMENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top