• HABARI MPYA

    Wednesday, March 16, 2016

    SAMATTA ALIVYOKINUKISHA JUMAPILI CRISTAL ARENA

    Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania Mbwana Samatta akiruka kupiga kichwa katikati ya mabeki wa Oostende kuifungia  bao la kwanza timu yake katika ushindi wa 4-1 Jumapili kwenye Ligi Kuu ya Ubelgiji Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk
    Samatta mbele ya beki wa Oostende katika mchezo huo ambao alicheza kwa dakika 74
    Samatta akitia krosi mbele ya beki wa Oostende katika mchezo huo 
    Samatta akiulinda mpira mbele ya beki wa Oostende Jumapili usiku
    Samatta akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Oostende katika mchezo huo
    Samatta akishangilia na Mjamaica, Leon Bailey ambaye alimpa pasi ya kufunga bao
    Samatta akiwaongoza wenzake kutoka uwanjani kuanza mchezo 
    Samatta akiwa na wenzake kabla ya mchezo Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk 
    Samatta akishangilia na Mjamaica, Leon Bailey ambaye alimpa pasi ya kufunga bao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOKINUKISHA JUMAPILI CRISTAL ARENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top