Mshambuliaji wa Manchester City, Jesus Navas akiinua mguu juu kugombea mpira na beki wa Dynamo Kiev, Vitaliy Buyalsky katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Etihad mjini Manchester. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 na Man City inatinga Robo Fainali kwa ushindi wa 3-1 iliyopata kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZADI GONGA HAPA
Rams QB Matthew Stafford beats out Drake Maye to win his first NFL MVP
award in a very close vote
-
Matthew Stafford led the NFL in passing yards and touchdowns this season.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment