Beki wa kulia wa Atletico Madrid, Juanfran akishangilia baada ya kuifungia penalti ya ushindi timu yake ikishinda kwa penalti 8-7 dhidi ya PSV Eindhoven usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid katika mchezo wa marudiano wa 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Atletico imetinga Robo Fainali kwa ushindi huo baada ya sare ya 0-0 kwenye mechi zote mbii nyumbani na ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nigeria’s economy contracted in April, fell to 49.4 –CBN
-
• FG’s reforms only good on paper, says Methodist Church By Uche Usim
Nigeria’s economy slowed down in April 2026 after more than a year of
steady growth...
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment