• HABARI MPYA

  Sunday, March 13, 2016

  DIEGO COSTA AMNG'ATA GARETH BARRY, ALIMWA KADI NYEKUNDU

  Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akimng'ata kiungo wa Everton, Gareth Barry jana Uwanja wa Goodison Park wakati wa mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England baina ya timu hizo. Everton ilishinda 2-0 mabao ya Romelu Lukaku yote. Costa alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuzinguana na kiungo huyo na pia inasemekana aliwaonyesha ishara mbaya mashabiki wa Everton jukwaani. Mwaka 2011, Luis Suarez alisimamishwa kwa kosa kama hilo ugenini kwa Fulham na amekwishafungiwa mara tatu maishani mwake kwa kung'ata wenzake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AMNG'ATA GARETH BARRY, ALIMWA KADI NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top