• HABARI MPYA

    Sunday, March 13, 2016

    YANGA SC ILIPOIKATALIA ASTON VILLA SHAMBA LA BIBI 1973

    Mchezaji wa Aston Villa ya England akipiga mpira katikati ya wachezaji wa Yanga katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam Mei mwaka 1973. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, tena wenyeji wakitangulia kufunga kabla ya wageni kusawazisha mwishoni mwa mchezo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC ILIPOIKATALIA ASTON VILLA SHAMBA LA BIBI 1973 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top