• HABARI MPYA

  Saturday, March 19, 2016

  CHELSEA YABANWA SARE 2-2 NA WEST HAM

  Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas akishangiliapu baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha katika sare ya 2-2 na West Ham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Fabregas pia wakati ya West Ham yamefungwa Manuel Lanzini na Andy Carroll PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YABANWA SARE 2-2 NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top