Wachezaji wa Arsenal, Olivier Giroud (katikati) na Mesut Ozil (kushoto) wakiwa wanyonge wakati wa kuanzisha mchezo baada ya kufungwa bao dhidi ya Watford katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England jioni ya leo Uwanja wa Emirates, London wakilala 2-1 na kutolewa. Mabao ya Watford yamefungwa na Odion Ighalo na Adlene Guedioura, wakati la Arsenal waliokuwa wanashikilia Kombe la FA limefungwa na Danny Welbeck PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Spice Girl Mel B reveals why she moved family from LA to northern England
-
British pop star lives in Leeds with her husband and three daughters
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment