• HABARI MPYA

  Sunday, March 13, 2016

  KISINGELI CHA KUMTOA MWALI WA FA CHUMBANI KWA ARSENAL!

  Mshambuliaji wa Watford, Adlene Guedioura (wa pili kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Emirates leo. Arsenal wamevuliwa taji hilo na Watford inakwenda Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KISINGELI CHA KUMTOA MWALI WA FA CHUMBANI KWA ARSENAL! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top