• HABARI MPYA

  Saturday, March 19, 2016

  ARSENAL WAJIPOZA KWA EVERTON, WAICHAPA 2-0

  Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Everton Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alex Iwobi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL WAJIPOZA KWA EVERTON, WAICHAPA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top