• HABARI MPYA

  Thursday, March 17, 2016

  APR WALIVYOWASILI KINYONGE DAR

  Wachezaji wa APR ya Rwanda wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji Yanga Jumamosi
  Nyuso za wachezaji wa APR zilionekana zimebeba unyonge wakati wanawasili
  Wachezaji wa APR na viongozi wao wakipanda basi. Ikumbukwe APR ilifungwa 2-1 na Yanga Jumamosi iliyopita mjini Kigali
  Wachezaji wa APR wakijadiliana wakati wanatembea kuelekea kwenye basi lililokwenda kuwapokea
  APR wanatakiwa kushinda 2-0 ili kusonga mbele Ligi ya Mabingwa Afrika

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: APR WALIVYOWASILI KINYONGE DAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top