• HABARI MPYA

  Friday, January 15, 2016

  SIMBA NA YANGA WALIVYOPATIWA 'VIWALO' VIPYA VYA 2016

  Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli (wa pili kushoto) akionesha baadhi ya vifaa alivyogawa kwa vilabu vya Simba na Yanga Jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya randi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa Yanga, Omar Kaya, Kaimu Katibu Mkuu wa Simba, Enock Kiguhi na Meneja Msaidizi wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Silvanus Mazula
  Meneja Wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, akikabidhi vifaa vya mpira kwa kaimu Katibu Mkuu wa Klabu ya Simba, Enock Kiguhi kwa ajili ya raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom. Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini Mkuu wa vilabu vya Yanga na Simba
  Meneja Wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, akikabidhi vifaa vya mpira kwa Meneja Masoko wa klabu ya Yanga, Omar Kaaya kwa ajili ya raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom. Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini Mkuu wa vilabu vya Yanga na Simba
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA WALIVYOPATIWA 'VIWALO' VIPYA VYA 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top