![]() |
| Taifa Stars iliyowasili leo jioni mjini Blantyre baada ya safari kutwa nzima kutoka nzima kutoka Dar es Salaam kuanzia ndege hadi basi, ilishinda 2-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani |
![]() |
| Pamoja na uchovu wa safari ya kutwa, lakini vijana walifanya mazoezi leo |
![]() |
| Jumapili Taifa Stars itahitaji hata sare ii kusonga mbele, ambako itakutana na Algeria katika hatua ya mwisho ya mchujo |
![]() |
| Wachezaji wote waliokuja na timu hapa wamefanya mazoezi leo |
![]() |
| Wachezaji wakiomba dua baada ya mazoezi yao usiku wa leo |








.png)
0 comments:
Post a Comment