• HABARI MPYA

    Monday, October 19, 2015

    YONDAN NA BOCCO ILIKUWA 'SHUGHULI PEVU' JUMAMOSI YANGA NA AZAM

    Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan (kulia) akipambana na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YONDAN NA BOCCO ILIKUWA 'SHUGHULI PEVU' JUMAMOSI YANGA NA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top