• HABARI MPYA

  Wednesday, October 28, 2015

  MKAKATI WA TAIFA STARS KUIUA ALGERIA NAMBA MOJA AFRIKA!

  Wajumbe wa Kamati ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Ahmed Iddi Mgosyi, Salim Abdallah  na Wakili Imani Madega wakijadiliana kabla ya kikao cha Kamati yao jana katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Algeria katikati ya mwezi ujao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKAKATI WA TAIFA STARS KUIUA ALGERIA NAMBA MOJA AFRIKA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top