Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema akienda hewani kuifungia kwa kichwa timu hiyo katika sare ya 1-1 na Atletco Madrid mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon. Bao la Atletico lilifungwa na Luciano Vietto katika mchezo huo, ambao kipa wa Real, Keylor Navas alicheza mkwaju wa penalti wa Antoine Griezmann PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Manchester United: Michael Carrick explains Mason Mount absence after fresh
injury worry
-
Midfielder was a surprise absence from the squad against Fulham on Sunday
43 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment