• HABARI MPYA

  Thursday, September 12, 2019

  BOCCO YUKO TAYARI KUREJEA KIKOSINI SIMBA SC IKIIVAA MTIBWA SUGAR KESHO UHURU

  Nahodha na mshambuliaji wa Simba SC, John Raphael Bocco aliyekuwa majeruhi akiwa mazoezini na wenzake jana kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOCCO YUKO TAYARI KUREJEA KIKOSINI SIMBA SC IKIIVAA MTIBWA SUGAR KESHO UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top