• HABARI MPYA

  Friday, June 01, 2018

  MRENO MARCO SILVA AWA KOCHA MPYA WA EVERTON

  Kocha wa zamani wa Watford na Hull City, Mreno Marco Silva akiwa ameshika skafu ya timu ya Everton baada ya kutambulishwa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kufuatia kusaini mkataba wa kujiiunga na klabu hiyo, akichukua nafasi ya Sam Allardyce aliyefukuzwa miezi sita tangu apewe nafasi ya Ronald Koeman PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MRENO MARCO SILVA AWA KOCHA MPYA WA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top