• HABARI MPYA

    Sunday, April 08, 2018

    YANGA NA WOLAITA DITCHA KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Yanga, Yussuf Mhilu akimtoka beki wa Wolaita Ditcha ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
    Kipa wa Wolaita Ditcha, Wond Wosen Geremen (kuli) akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Yanga
    Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akiwatoka wachezaji wa Wolaita Ditcha
    Mshambuliaji Mtogo wa Wolaita Ditcha, Arafat Djako akimsukuma beki wa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja' 
    Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko akimtoka mchezajin wa Wolaita Ditcha
    Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akipasua katikati ya wachezaji wa Wolaita Ditcha
    Kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin akipiga shuti mbele ya mchezaji wa Wolaita Ditcha 
    Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali (kulia) akimpita mchezaji wa Wolaita Ditcha
    Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Taifa 
    Kikosi cha Wolaita Ditcha kabla ya mchezo huo jana Uwanja wa Taifa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA WOLAITA DITCHA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top