• HABARI MPYA

  Sunday, April 08, 2018

  WELBECK AIPA POINTI TATU ARSENAL KWA MABAO YAKE MAWILI LEO

  Mshambuliaji Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 81 ikiilaza 3-2 Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Welbeck amefunga mabao mawili leo, la kwanza dakika ya 38 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang kuanza kuifungia Arsenal dakika ya 28, wakati mabao ya Southampton yamefungwa na Shane Long dakika ya 17 na Charlie Austin dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WELBECK AIPA POINTI TATU ARSENAL KWA MABAO YAKE MAWILI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top