• HABARI MPYA

  Sunday, April 08, 2018

  RONALDO AFUNGA BAO ZURI, LAKINI GRIEZMANN AWACHOMOLEA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kuongoza Real Madrid dakika ya 53 katika sare ya 1-1 na Atletico Madrid kwenye mchezo wa La Liga leo Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la Atletico limefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA BAO ZURI, LAKINI GRIEZMANN AWACHOMOLEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top