• HABARI MPYA

    Thursday, April 05, 2018

    TWIGA STARS NA ZAMBIA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

    Mshambuliaji wa Tanzania, Stumai Abdallah (kulia) akipambana na kipa wa Zambia, Catherine Nusinda katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake Novemba mwaka huu nchini Ghana uliofanyika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 3-3  

    Mshambuliaji wa Twiga Stars, Asha Rashid 'Mwalala' (kulia) akimdhibiti mchezaji wa She Polopolo, Jackline Nkole

    Mashambuliaji wa Twiga Stars, Stumai Abdallah akimtoka mchezaji wa She Polopolo
    Mshambuliaji wa Zambia, Barbra Banda akimtoka mchezaji wa Tanzania jana  
    Kikosi cha Tanzania kabla ya mchezo wa jana na chini ni wachezaji wa Zambia wakifurahia sare ya mabao ugenini 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TWIGA STARS NA ZAMBIA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top