• HABARI MPYA

  Thursday, April 05, 2018

  BARCELONA YAIBAMIZA ROMA 4-1, MABAO MAWILI WAMEJIFUNGA WENYEWE

  Gerard Pique akifurahia baada ya kuifungia Barcelona bao la tatu dakika ya 59 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Roma kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Daniele De Rossi dakika ya 38 aliyejifunga baada ya jazi nzuri ya Lionel Messi, Kostas Manolas aliyejifunga pia dakika ya 55 baada ya kazi nzuri ya Samuel Umtiti na Luis Suarez dakika ya 87. Bao la Roma lilifungwa na Edin Dzeko dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAIBAMIZA ROMA 4-1, MABAO MAWILI WAMEJIFUNGA WENYEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top