• HABARI MPYA

  Thursday, April 19, 2018

  RONALDO AINUSURU REAL MADRID KUPIGWA BERNABEU

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akimiliki mpira wakati wa mchezo wa La Liga kati ya timu yake, Real Madrid  na Athletic Bilbao usiku wa Jumatano uliomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Santiago Bernabeu. Inaki Williams alianza kuwafungia Athletic Bilbao dakika ya 14 kwa pasi ya Inigo Cordoba, kabla ya Ronaldo kuisawazishia Real Madrdi dakika ya 87 kwa pasi ya Luca Modric PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AINUSURU REAL MADRID KUPIGWA BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top