• HABARI MPYA

    Monday, April 02, 2018

    NINI DIAMOND ALIKUWA ANAMUAMBIA NINI HAPA HUYU BOSI WA AZAM TV?

    Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul (kushoto) akimuambia jambo Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Jacob Joseph wakati wa tamasha la usikuwa tuzo za Filamu Tanzania SZIFF ukumbi wa Mlimani City mjini Dar es Salaam jana 
    Diamond Plutnumz akifuatilia tamasha la usiku wa SZIFF jana 
    Mgerni rasmi, Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza jambo na Mtendaji Mkuu wa Azam Media Group Limited Limited, Tido Mhando (katikati) wakati wa tamasha hilo 
    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiandika mambo wakati tamasha hilo likiendelea
    Inaonekana Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alikuwa anaandika hotuba yake 
    Msanii nguli, King Majuto (katikati) alikuwepo pia jana
    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Hajji Manara (kushoto)
    Baadhi ya wadau walioalikwa kwenye tamasha hilo
    Zaidi ya watu 2000 walikuwepo ukumbini jana
    Wadau mbalimbali katika picha ya pamoja jana Mlimani City 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NINI DIAMOND ALIKUWA ANAMUAMBIA NINI HAPA HUYU BOSI WA AZAM TV? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top