• HABARI MPYA

  Friday, April 06, 2018

  LACAZETTE AFUNGA MAWILI KAMA RAMSEY ARSENAL YASHINDA 4-1

  Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 23 kwa penalti na 35 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya CSKA Moscow kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya The Gunners yamefungwa na Aaron Ramsey (kulia) dakika ya tisa na 28, wakati la CSKA Moscow limefungwa na Aleksandr Golovin dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGA MAWILI KAMA RAMSEY ARSENAL YASHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top