• HABARI MPYA

  Friday, April 06, 2018

  ATLETICO MADRID YAICHAPA 2-0 SPORTING LISBON EUROPA LEAGUE

  Nyota wa Atletico Madrid, Jorge Resurreccion Merodio maarufu kwa jina la utani, Koke akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania. Bao lingine la Atletico Madrid limefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID YAICHAPA 2-0 SPORTING LISBON EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top