• HABARI MPYA

  Thursday, April 05, 2018

  LIVERPOOL YAIFANYIA KITU KIBAYA MANCHESTER CITY ANFIELD, 3-0

  Mohamed Salah akiteleza chini kwa furaha kushangilia na wachezaji wenzake, Roberto Firmino aliyempa pasi na Andy Robertson baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 20 pasi ya James Milner na Sadio Mane dakika ya 31 pasi ya Salah PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIFANYIA KITU KIBAYA MANCHESTER CITY ANFIELD, 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top