• HABARI MPYA

  Friday, April 13, 2018

  ATLETICO MADRID YAPIGWA LAKINI YASONGA MBELE ULAYA

  Fernando Torres akiwa chini baada ya kuingia uwanjani jana kuchukua nafasi ya Diego Costa, timu yao Atletico Madrid ikifungwa 1-0 na wenyeji, Sporting Lisbon, bao pekee la Fredy Montero dakika ya 28 Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali UEFA Europa League na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa wa 2-1 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Hispania. Atletico inaungana na Arsenal iliyoitoa CSKA Moscow, Salzburg iliyoitoa Lazio na Olympique Marseille iliyoitoa RB Leipzig PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID YAPIGWA LAKINI YASONGA MBELE ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top