• HABARI MPYA

  Friday, April 13, 2018

  ARSENAL YATOA SARE, YATINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE

  Kikosi cha Arsenal kabla ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Europa League dhidi ya CSKA Moscow uliomalizika kwa sare ya 2-2 usiku wa Alhamisi Uwanja wa VEB Arena mjini Moscow nchini Urusi. CSKA Moscow ilitangulia kwa mabao ya Fyodor Chalov dakika ya 39 na Kirill Nababkin dakika ya 50, kabla ya Danny Welbeck na Aaron Ramsey kuisawazishia Arsenal dakika za 75 na 90 na ushei na sasa timu ya Wenger inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-3 baada ya kushinda 4-1 kwenye mchezo wa kwanza London PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YATOA SARE, YATINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top