• HABARI MPYA

    Thursday, January 18, 2018

    NINI PLUIJM ALIKUWA ANAZUNGUMZA HAPA NA BOSI HUYU WA AZAM FC?

    Kocha Mkuu wa Singida United, Mholanzi Hans van der Pluijm (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed (kushoto) jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
    Wawili hawa walikutana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga Mwadui FC
    Walikuwa wana mazungumzo marefu wakati wa mapumziko eneo wanalokaa wageni wa heshima 
    Na kila mmoja alionekana kuyatilia maanani mazungumzo hayo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NINI PLUIJM ALIKUWA ANAZUNGUMZA HAPA NA BOSI HUYU WA AZAM FC? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top