• HABARI MPYA

  Thursday, January 18, 2018

  NEYMAR AFUNGA MABAO MANNE PSG YASHINDA 8-0 LIGUE 1 UFARANSA

  Neymar akiruka juu kushangilia baada ya kufunga hat trick ya kwanza Ufaransa tangu ajiunge na Paris Saint-Germain kwa dau la rekodi ya dunia, Pauni Milioni 198 kutoka Barcelona kufuatia jana kufunga mabao manne dakika za 42, 57, 73 na 83 kwa penalti katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Dijon kwenye mchezo wa Ligue 1 Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Angel Di Maria mawili dakika za nne na 15, Edinson Cavani dakika ya 21 na Kylian Mbappe dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA MABAO MANNE PSG YASHINDA 8-0 LIGUE 1 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top