• HABARI MPYA

    Thursday, January 18, 2018

    YANGA NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA UHURU

    Beki wa Mwadui FC, David Luhende (kulia) akimdhibiti kiungo wa Yanga, Said Mussa 'Ronaldo' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam timu hizo zikitika sare ya 0-0                    
    Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' (kushoto) akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Mwaduo FC, Paul Nonga (kulia)
    David Luhende akipanda na mpira dhidi ya kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi 
    Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib akitafuta maariga ha kupigta katikati ya wachezaji wa Mwadui
    Beki wa Mwadui FC, Iddy Mobby akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe 
    Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimpita mchezaji wa Mwadui FC
    Kiungo wa Mwadui FC, Abdallah Seseme akipambana na Emmanuel Martin wa Yangaa aliyelala chini kuondoa mpira
    Kiungo wa Yanga, Pius Buswita (kushoto) akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Mwadui FC
    Kikosi cha Mwadui FC kabla ya mchezo wa jana  
    Kikosi cha Yang SC kabla ya mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top