• HABARI MPYA

  Saturday, January 20, 2018

  LACAZETTE AFUNGA LA NNE ARSENAL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 4--1

  Mshambuliaji wa Arsenal, Mfaransa Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la nne dakika ya 22 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya The Gunners yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya sita, Alex Iwobi dakika ya 10 na Laurent Koscielny dakika ya 13, wakati la kufutia machozi la Palace lilifungwa na Luka Milovojevic dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGA LA NNE ARSENAL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 4--1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top