• HABARI MPYA

  Saturday, January 20, 2018

  MARTIAL AFUNGA BAO PEKEE MAN UNITED YAIFUMUA 1-0 BURNLEY

  Mshambuliaji Mfaransa, Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 54 ikiilaza 1-0 Burnley leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARTIAL AFUNGA BAO PEKEE MAN UNITED YAIFUMUA 1-0 BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top