Eden Hazard akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika za tatu na 77 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa AMEX leo. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Willian dakika ya sita na Victor Moses dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man seen eating after DC shooting reportedly Wolf Blitzer's agent
-
The CAA agent was seen calmly eating during a clip from CNN's coverage of
the White House Correspondents' dinner shooting.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment