• HABARI MPYA

    Tuesday, February 24, 2026

    YANGA NA POLISI, AZAM NA MBEYA KWANZA, SIMBA NA B19 FC 32 BORA KOMBE LA CRDB

    MABINGWA watetezi, Yanga SC watamenyana na Polisi Tanzania katika Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB.
    Katika Droo iliyofanyika mchana wa leo Studio za Azam TV, Tabata TIOT, Dar es Salaam ikihusisha jumla ya timu 32 zilizofuzu Hatua hii, vigogo wengine, Simba SC watamenyana na B19 FC. 
    Mabingwa wa zamani wa michuano hiyo, Azam FC watamenyana na Mbeya Kwanza, wakati Singida Black Stars watakutana na Songea United huku Coastal Union ikiumana na Stand United.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA POLISI, AZAM NA MBEYA KWANZA, SIMBA NA B19 FC 32 BORA KOMBE LA CRDB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top