• HABARI MPYA

    Sunday, January 14, 2018

    AZAM FC WALIVYOBEBA KOMBE KA MAPINDUZI JANA ZANZIBAR

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein (katikati) akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Azam FC, Himid Mao baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya URA ya Uganda jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar
    Mshambuliaji Mghana wa Azam FC, Bernard Arthur akipiga mpira pembeni ya beki wa URA jana
    Rais Dk. Ali Mohammed Shein akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Azam FC kabla ya mechi
    Rais Dk. Ali Mohammed Shein akimvalisha Medali kipa wa akiba wa Azam FC, Mwadini Ali 
    Mfungaji Bora wa mashindano Paul Peter wa Azam FC akifurahia na tuzo yake
    Viongozi na wapenzi wa Azam FC wakifurahia na Kombe la Mapinduzi baada ya mechi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOBEBA KOMBE KA MAPINDUZI JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top