• HABARI MPYA

  Friday, January 19, 2018

  ASENSIO AISOGEZA REAL MADRID NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME

  Marco Asensio akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 89 ikiwalaza wenyeji, Leganes 1-0 katika mchezo waRobo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey usiku wa Alhamisi Uwanja wa Maniapaa ya Butarque mjini Leganes PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ASENSIO AISOGEZA REAL MADRID NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top