• HABARI MPYA

    Friday, January 19, 2018

    SIMBA NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba, John Bocco 'Adebayor' akiruka juu kujaribu kuunganisha mpira kufunga dhidi ya kipa wa Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0  
    Mfungaji wa mabapo mawili ya Simba, Emmanuel Okwi akimuacha chini beki wa Singida United, Kennedy Wilson
    Beki Mghana wa Simba, Asante Kwasi akipiga mpira mbele ya mshambuliaji wa Singida United, Tafadzwa Kutinyu 
    Kiungo wa Simba, Said Ndemla akimtoka Deus Kaseke wa Singida United
    Kiungo Mghana wa Simba, James Kotei akimlamba chenga Kenny Ally wa Singida United
    Mshambuliaji wa Singida United, Lubinda Mundia akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Simba
    Kiungo anayecheza Singida United kwa mkopo, Mudathir Yahya (kushoto) akipiga hesabu na mpira 
    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akigeuka na mpira dhidi ya kiungo wa Singida, Deus Kaseke
    Kikosi cha Singida United kilichoanza katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Simba kilichoanza katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top