• HABARI MPYA

  Monday, January 01, 2018

  ARSENAL YAPOKONYWA USHINDI DAKIKA YA MWISHO KWA TUTA

  Jay Rodriguez akifunga kwa penalti dakika ya 89 kuisawazishia West Bromwich Albion baada ya  Calum Chambers kuunawa mpira katika sare ya 1-1 na Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Hawthorns. Arsenal ilitangulia kupata bao dakika ya 83 wakati shuti la mpira wa adhabu la Alexis Sanchez lilipombabatiza James McClean akajifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPOKONYWA USHINDI DAKIKA YA MWISHO KWA TUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top