• HABARI MPYA

  Monday, December 18, 2017

  SALAMU ZENU KUTOKA KWA STRAIKA MPYA MGHANA WA AZAM

  Mshambuliaji mpya Mghana wa Azam, Bernard Arthur akifumua shuti kufunga katika mchezo wa kirafiki juzi dhidi ya Villa Squad Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam  
  Bernard Arthur anakimbia kushangilia baada ya kufunga Jumamosi
  Bernard Arthur ambaye alifunga mabao mawili katika ushindi wa 7-1 juzi, hapa anashangilia na Mghana mwenzake, beki Daniel Amoah 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAMU ZENU KUTOKA KWA STRAIKA MPYA MGHANA WA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top