• HABARI MPYA

    Thursday, December 21, 2017

    MBARAKA YUSUPH SAFARINI AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU

    Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kushoto) na mshambuliaji Mbaraka Yusuph (kulia) mchana huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam tayari kwa safari ya Afrika Kusini kwa matibabu  
    Hapa wanapata mlo katika mgahawa ulio ndani ya Uwanja wa Ndege Julius Nyerere
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBARAKA YUSUPH SAFARINI AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top