• HABARI MPYA

  Wednesday, December 20, 2017

  WELBECK AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Mshambuliaji Danny Welbeck akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi dakika ya 42 Uwanja wa Emirates mjini London ikiwalaza 1-0 West Ham United katika Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WELBECK AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top